×

LingQ'yu daha iyi hale getirmek için çerezleri kullanıyoruz. Siteyi ziyaret ederek, bunu kabul edersiniz: çerez politikası.


image

LingQ Mini Stories, 39 - Mwimbaji Anayependwa na Wandia

Mwimbaji anayependwa zaidi na Wandia alikuwa na tamasha mwezi uliopita.

Wandia alitaka kwenda kwenye tamasha.

Angelazimika kununua tikiti ili aende.

Alianza kutafuta tikiti mtandaoni.

Lakini kulikuwa na tikiti chache tu zilizosalia.

Tikiti nyingi zilikuwa tayari zimeuzwa.

Wandia alikuwa amekaribia kuchagua tikiti bora zaidi ya kiti iliyosalia.

Lakini kiti kilikuwa mbali kidogo na jukwaa.

Wandia aliamua kuwa ni nzuri vya kutosha.

Hapa kuna hadithi sawa iliyosimuliwa kwa njia tofauti.

Mwimbaji ninayempenda atakuwa na tamasha mwezi ujao.

Rafiki yangu anataka kwenda kwenye tamasha.

Nitakuwa nikinunua tikiti kesho ili niweze kwenda kwenye tamasha pia.

Nitatafuta tikiti mtandaoni.

Lakini nina hakika kutakuwa na tikiti chache tu zilizosalia.

Tikiti nyingi tayari zitauzwa.

Kesho, nitachagua tikiti bora zaidi ya kiti iliyosalia.

Kiti pengine kitakuwa mbali kidogo na jukwaa.

Lakini nadhani itakuwa nzuri vya kutosha.

Nitafurahi tu kupata tikiti.

Maswali:

Moja: Mwimbaji anayependwa na Wandia alikuwa na tamasha.

Nani alikuwa na tamasha? Mwimbaji anayependwa na Wandia alikuwa na tamasha.

Mbili: Wandia alitaka kwenda kwenye tamasha.

Wandia alikuwa anataka kwenda wapi? Wandia alitaka kwenda kwenye tamasha.

Tatu: Wandia angelazimika kununua tikiti ili aende.

Wandia angelazimika kufanya nini? Angelazimika kununua tikiti ili aende.

Nne: Alianza kutafuta tikiti mtandaoni.

Alianza kutafuta tikiti wapi? Alianza kutafuta tikiti mtandaoni.

Tano: Kutakuwa na tikiti chache tu zilizosalia kwa sababu tiketi nyingi zitakuwa zimeuzwa tayari.

Ni tikiti ngapi zitasalia? Kutakuwa na tiketi chache tu zilizosalia. Tikiti nyingi zitakuwa zimeuzwa tayari.

Sita: Wandia atachagua tikiti bora zaidi ya kiti iliyosalia.

Wandia atachagua tikiti ya kiti? Atachagua tikiti bora zaidi ya kiti iliyosalia.

Saba: Kiti pengine kitakuwa mbali kidogo na jukwaa.

kiti kitakuwa wapi? Kiti pengine kitakuwa mbali kidogo na jukwaa.

Nane: Wandia anafikiri tiketi itakuwa nzuri ya kutosha.

Wandia anahisije kuhusu tikiti? Anadhani tiketi itakuwa nzuri ya kutosha.

Learn languages from TV shows, movies, news, articles and more! Try LingQ for FREE

Mwimbaji anayependwa zaidi na Wandia alikuwa na tamasha mwezi uliopita. der beliebteste Sänger||am meisten||Wandia|||Veranstaltung||letzten Most loved singer|most loved|most|"by"|Wandia's|||concert|last month|last month Den älskade sångaren||||Wandia|||konsert||förra månaden Wandias Lieblingssängerin hatte letzten Monat ein Konzert. Adrian's favourite singer had a concert last month.

Wandia alitaka kwenda kwenye tamasha. ||||Festival Wandia|wanted to|to go||festival Wandia wollte zum Konzert gehen. Adrian had wanted to go to the concert.

Angelazimika kununua tikiti ili aende. muss||Ticket|damit| She must||ticket|"so that"| Måste hon köpa|||| He would have had to buy tickets so he could go.

Alianza kutafuta tikiti mtandaoni. Allianz|suchen||online Alliance|||online Allians||| He'd started looking for tickets online.

Lakini kulikuwa na tikiti chache tu zilizosalia. ||||wenige||die übrig gebliebenen |"there were"|"there were"||few|only|remaining ||||||kvarvarande Es waren aber nur noch wenige Tickets übrig. But there had only been a few tickets left.

Tikiti nyingi zilikuwa tayari zimeuzwa. ||||verkauft worden |many|"had been"||had been sold |||redan|har sålts Die meisten Tickets waren bereits verkauft. Many tickets had already been sold.

Wandia alikuwa amekaribia kuchagua tikiti bora zaidi ya kiti iliyosalia. ||hatte sich genäh|auswählen|das Ticket|beste|||Sitz|die übriggebl ||was about to|to choose|||||seat|remaining ||hade närmat sig|välja|||||sittplats|kvarvarande Adrian had almost chosen the best seat ticket left.

Lakini kiti kilikuwa mbali kidogo na jukwaa. ||war|||| |chair|"was"||||stage ||var beläget||||scenen But the seat was a little too far from the stage.

Wandia aliamua kuwa ni nzuri vya kutosha. ||||||ausreichend |decided||||good enough|good enough Adrian decided it was good enough.

Hapa kuna hadithi sawa iliyosimuliwa kwa njia tofauti. |||igual|||| Here is the same story told in a different way.

Mwimbaji ninayempenda atakuwa na tamasha mwezi ujao. ||||Konzert||nächsten The singer|"I love"|||concert||next My favourite singer will be having a concert next month.

Rafiki yangu anataka kwenda kwenye tamasha. |||||Festival My friend wants to go to the concert.

Nitakuwa nikinunua tikiti kesho ili niweze kwenda kwenye tamasha pia. Ich werde|ich werde kaufen||||ich kann|||| I will be|I will buy|||"so that"|"so I can"|||| Jag kommer att|kommer att köpa||||så att jag|||| I'll be buying tickets tomorrow so I can go to the concert too.

Nitatafuta tikiti mtandaoni. Ich werde suchen||online I will search|| Jag ska leta|| I'll search for tickets online.

Lakini nina hakika kutakuwa na tikiti chache tu zilizosalia. ||sicher|es wird|||wenige||die übrig gebliebenen ||sure|"there will be"|||||remaining ||säker|det kommer att|||||kvarvarande But I'm sure there will only be a few tickets left.

Tikiti nyingi tayari zitauzwa. ||bereits|werden verkauft ||already|will be sold |||kommer att säljas Many tickets will already be sold.

Kesho, nitachagua tikiti bora zaidi ya kiti iliyosalia. |ich werde wählen||||||die übriggebl |"I will choose"||||||remaining |Jag ska välja|||||| |||||||quedó disponible Morgen werde ich das beste verbleibende Sitzplatzticket auswählen. Tomorrow, I'll choose the best seat ticket that's left.

Kiti pengine kitakuwa mbali kidogo na jukwaa. |vielleicht|wird sein|ein wenig|||Bühne |"perhaps" or "maybe"|"will be"||||stage/platform ||kommer att vara|||| The seat will probably be a little too far from the stage.

Lakini nadhani itakuwa nzuri vya kutosha. |ich denke|es wird||| |"I think"|"it will be"|||good enough |Jag tror|det kommer att|||tillräckligt bra Aber ich denke, es wird gut genug sein. But I think it'll be good enough.

Nitafurahi tu kupata tikiti. Ich werde mich freuen||das Ticket bekommen| I will be happy|only|get| Jag blir glad||| Ich freue mich einfach über ein Ticket. I'll just be happy to get a ticket.

Maswali: Questions:

Moja: Mwimbaji anayependwa na Wandia alikuwa na tamasha. |der Sänger||||||Konzert One: Adrian's favourite singer had a concert.

Nani alikuwa na tamasha? Who had a concert? Mwimbaji anayependwa na Wandia alikuwa na tamasha. Adrian's favourite singer had a concert.

Mbili: Wandia alitaka kwenda kwenye tamasha. Two: Adrian had wanted to go to the concert.

Wandia alikuwa anataka kwenda wapi? Where had Adrian wanted to go? Wandia alitaka kwenda kwenye tamasha. Adrian had wanted to go to the concert.

Tatu: Wandia angelazimika kununua tikiti ili aende. ||must buy|||"so that"| Three: Adrian would have had to buy tickets so he could go.

Wandia angelazimika kufanya nini? What would Adrian have had to do? Angelazimika kununua tikiti ili aende. He would have had to buy tickets so he could go.

Nne: Alianza kutafuta tikiti mtandaoni. Four: He started looking for tickets online.

Alianza kutafuta tikiti wapi? Where did he start looking for tickets? Alianza kutafuta tikiti mtandaoni. Alianza|||en línea He started looking for tickets online.

Tano: Kutakuwa na tikiti chache tu zilizosalia kwa sababu tiketi nyingi zitakuwa zimeuzwa tayari. ||||wenige|||||||werden sein|verkauft worden|bereits verkauft |"There will be"|||||||reason|||will have been|have been sold| |||||||||||kommer att vara|| ||||||||||||se habrán vendido|ya antes Five: There will only be a few tickets left because many tickets will have been sold already.

Ni tikiti ngapi zitasalia? |||werden übrig bleiben |||will be left |||Hur många kvar? How many tickets will be left? Kutakuwa na tiketi chache tu zilizosalia. There will only be a few tickets left. Tikiti nyingi zitakuwa zimeuzwa tayari. Many tickets will have been sold already.

Sita: Wandia atachagua tikiti bora zaidi ya kiti iliyosalia. ||wird wählen|||||| ||will choose|||||| ||kommer att välja|||||| ||||||||restante Six: Adrian will choose the best seat ticket that's left.

Wandia atachagua tikiti ya kiti? ||||Sitzplatz |will choose||| Which seat ticket will Adrian choose? Atachagua tikiti bora zaidi ya kiti iliyosalia. He will choose|||||| He will choose the best seat ticket that's left.

Saba: Kiti pengine kitakuwa mbali kidogo na jukwaa. Seven: The seat will probably be a little too far from the stage.

kiti kitakuwa wapi? "seat"|| Where will the seat be? Kiti pengine kitakuwa mbali kidogo na jukwaa. |||ein wenig|ein wenig||Bühne |perhaps||||| The seat will probably be a little too far from the stage.

Nane: Wandia anafikiri tiketi itakuwa nzuri ya kutosha. Eight: Adrian thinks the ticket will be good enough.

Wandia anahisije kuhusu tikiti? |wie fühlt|über| |feel about|| |är orolig över|| How does Adrian feel about the ticket? Anadhani tiketi itakuwa nzuri ya kutosha. |||||ausreichend Cree||||| He thinks the ticket will be good enough.