×

We use cookies to help make LingQ better. By visiting the site, you agree to our cookie policy.


image

Who is She?, 12- Nataka Unisaidie

Sawa, lakini nina shughuli.

Unahitaji kuharakisha.

Tafadhali subiri.

Nahitaji sana msaada wako.

Siwezi kutumia siku nzima nikijibu tu maswali yako.

Sijali ikiwa nitapata tiketi ya maegesho.

Nataka unisaidie.

Na je ingekuwa ndugu yako?

Ungekuwa katika hali sawa na mimi.

Naam, nimeelewa.

Unataka kujua nini?

Na ningekupa dola mia moja?

Je! Ungenisaidia kujua zaidi kuhusu kile ndugu yangu na mwenzake wanafanya?

Unataka nimpeleleze ndugu yako?

La, siwezi kufanya hilo.

Sio haki kwa ndugu yako.

Na nikikupa dola mia tano, je, utafanya hivyo?

Hilo ni jambo lingine.

Bila shaka sifai kufanya hivyo, lakini kwa dola mia tano naweza kufanya hivyo.

Vizuri, Sasa nafahamu aina ya mtu nafanya kazi naye..

Unamaanisha nini kwa hilo?

Wataka msaada wangu au la?

Ndiyo, nataka msaada wako.

Sawa, lakini nina shughuli. |||activity OK but I am busy.

Unahitaji kuharakisha. You need|hurry up You had better hurry.

Tafadhali subiri. |wait Please wait.

Nahitaji sana msaada wako. I need||help| I really need you to help me.

Siwezi kutumia siku nzima nikijibu tu maswali yako. |spend||whole day|while answering||| I cannot spend the whole day just answering your questions.

Sijali ikiwa nitapata tiketi ya maegesho. I don't care|if|I will get|||parking I do not care if I get a parking ticket.

Nataka unisaidie. I want you to help me.

Na je ingekuwa ndugu yako? ||if it were|| What if it were your brother?

Ungekuwa katika hali sawa na mimi. you would be||state||| You would be in the same situation as me.

Naam, nimeelewa. |I understand Well, get to the point.

Unataka kujua nini? What do you want to know?

Na ningekupa dola mia moja? |I would give you|dollars|one hundred| What if I gave you one hundred dollars?

Je! Ungenisaidia kujua zaidi kuhusu kile ndugu yangu na mwenzake wanafanya? question marker|help me||more|about|that||||his partner| Would you help me find out more about what my brother and his roommate are doing?

Unataka nimpeleleze ndugu yako? |I will spy on|| You want me to spy on your brother?

La, siwezi kufanya hilo. that||| No, I will not do that.

Sio haki kwa ndugu yako. |justice, fairness||| It is not fair to your brother.

Na nikikupa dola mia tano, je, utafanya hivyo? |I give you|||||do that| What if I give you five hundred dollars, would you do it then?

Hilo ni jambo lingine. ||thing|another thing That is a different story.

Bila shaka sifai kufanya hivyo, lakini kwa dola mia tano naweza kufanya hivyo. Without|without a doubt|certainly||that|||||||| Of course I really should not do it, but for five hundred dollars, I might be willing to do it.

Vizuri, Sasa nafahamu aina ya mtu nafanya kazi naye.. ||understand||||I work with||with whom Good, Now I know the kind of person I am dealing with.

Unamaanisha nini kwa hilo? you mean||| What do you mean by that?

Wataka msaada wangu au la? want||||or not Do you want my help or not?

Ndiyo, nataka msaada wako. Yes I want your help.